Wednesday, July 29, 2009


kuna vitu vingi sana ambavyo tunaweza kuviongelea.hebu tuongelee hela.kwanza tuongelee uzuri wake.kila mtu yupo duniani kutafuta maisha.nakupata maisha mazuri lazima uwe na hela.kuna vitu vingi binadamu anaweza kufanya kujiendekeza kimaisha bora uwe unaweza kufanya bila kupitia njia ya udanganyifu.muuza tomato akiendeleza biasha yake inaweza kumnunulia hata nyumba.langu ni sio lazima uwe unafanya kazi benki ndio ununue nyumba.kila mtu anashida zake kwaivyo badala ya kulalamika saa zote tumia akili.ama naongea vibaya?

No comments:

Post a Comment