Monday, July 27, 2009

Siku ya kupanda miti!!!!


Nani alisema hatuwezi kupanda miti!hah!...mwafikiri hatuwezi kushika matope....hebu tupande miti kwa wingi tuweze kupata mvua......kazi kwako!!!...

No comments:

Post a Comment