Wednesday, September 2, 2009

The Love Language to Kids!

Mimi sio muandishi lakini nina uakika kwamba maneno yangu yanaweza kumfunza mtu na kumpa muelekeo mzuri maishani mwake. Mimi hadi kufikia hapa nilipo leo hii haikua raisi vile wengi ufikiria.Maisha nilikua mimi nimagumu kiasi cha kwamba singependa kumuona binadamu mwenzangu kuyapitia.Naishi kwakujua kuna kesho.

Ikiwa leo sina silalamiki maana kesho ni siku nyengine.Wazazi wamekua wakiwalea watoto wao kwakuaonyesha leo bila kujali kesho.Mfunze mwanao kwamba leo tunakunywa chai ya maziwa kesho yarangi na kumwambia kwamba chochote upatachokula bila kuchagua uji ama chai.Kuna wazazi ambao wamezoea kuapatia watoto wao hela eti ishara ya kuwapenda.

Basi ngojeni niwaambie kitu kuhusu hela kuapa watoto.ukimfunza mtoto kua lazima ummpe pesa kila wakati atazoea na akizoea ndio basi.sikuile utakua huna pesa na huna kweli basi itakua umejichimbia kisima mwenyewe.hapo ndio mtoto uona hawezi kukaa bila na hapo ndio mtoto uanza kua mwizi na kuona kama mama hana heri nikaibe kwa jirani ama kwa mtu yoyote lakini niwe na hela.kwaivyo kumpa mtoto hela kiolela nikumfanya awe mwizi.siku nyengine nitaongelea kitu chengine.shukran

--------------------------------------------------------------------------------------
Iam not a writer but i believe my words will have weight to direct someones life. Where iam in my life has not been easy.The road has been tough such that i would not like to see anyone go through what have gone through. I live in this world knowing there is tomorrow.

If today i dont have, then thats not a reason for me to complain. For instance, most parents are raising their kids without laying a foundation about the tomorrows life. I believe we should teach our children for example, today take tea with milk and tomorrow remember even tea without milk will serve the purpose.Giving a child money as a sign of love is quite destructive in the end.

I beg to share this character of giving money to children - consistent behavoir of releasing money to the kids will make them develop an urge to have money all the time. By you creating this avenue, once the day you will not sincerely being having the money will create a tension within the child to fulfill this need. These kids are immature and have not developed the consciousness of saying yes or no. They flow with the wind of temptation very fast and one should not be shocked or frustrated when they start stealing small. Why raise up a thief because you misinterpreted the language of love to these kids!!!........Till next time on another topic......Thank you for reading this!!!!!

2 comments:

  1. "I beg to share this character of giving money to children - consistent behavoir of releasing money to the kids will make them develop an urge to have money all the time. By you creating this avenue, once the day you will not sincerely being having the money will create a tension within the child to fulfill this need." haya ni ya kweli kabisa...anytime you give a street child money you wont be able to get them off the street they will develop the mentality the street got money... am not saying ati tuwanyime but hiyo ndio ukweli wa mambo psychologically the child would be controlled by the presence of money...

    ReplyDelete
  2. Once the money that you give to your son/daughter lacks you will understand btwn a rained cat and a lion!mzazi chunga

    ReplyDelete