Tuesday, September 1, 2009

peter adam of pwani fm akitusomea kitabu hiki


huyu jamaaa kwakweli yeye na nyota hawapatani kabisaaaaaaaaaaaaaaa.lakini maisha lazima yaendelee maana duniani uwezi kupendwa na wote.wale kidogo wanaokupenda ukimueka na mungu muumba wa vyote binadamu si chochote.peter adam ni mtangazaji wa pwani fm kama munavyo mjua.kazi zake zinakubalika na wengi.tunaweza kusema kwamba anajitaidi sana katika kazi yake.naamini kazi yake siku moja itamfikisha mbali zaidi.

No comments:

Post a Comment