Tuesday, February 16, 2010

kwa wasaani watarajiwa.

katika maisha binadamu ni tafauti sana.ni miaka kumi nyota kwenye mziki na namshukuru mungu sana kuniweka juu kimziki nakufanya kazi yangu kukubalika kila siku.kwa mimi namshukuru kwakua wanamziki wanazaliwa kila leo na mitindo inazidi kuja kila siku lakini katika mziki lazima ujiulize nikitu gani mbacho unaka kwanza ndio upate muelekea.kuna vitu vingi sana vyakuimba bora ukae na ufikirie sana chakuimba.saazengine unalazimika kuimba nyimbo ambao wewe kama muimbaji ukupanga kuimba lakini kwavile mashabiki wanataka inabidi kisikilaza na kufata wanacho kitaka kwakua wao ndio wadosi wetu.usipo jieshimu kama mwanamziki basi hakuna atae kueshimu kabisa.lazima kujifunza kusema thank u kila unapopata izuri na kueka kiburi kando wakati wote unapo kua karibu na mashabiki.pia ukiwa mwanamzikiwa kike ama wakiume na aje mtu kukuambia i love u jiulize kwanza mbona kabla sijawa mwanamziki mbona hakuna mtu aliwai kuniambia maneno haya?na jibu utapata.wanamziki wa kike uingia sana mtegoni kwakudanganywa kua wanapendwa sana na hii ikawa ndio mwanzo wa kuaribu sifa yako na umaharufu wako.neno la mwisho kwa wanamziki watarajiwa.ikiwa unaona unaweza fanya na usikubali kutumiwa eti utoke maana kizuri ujitokeza.jipe nguvu kabla ujapewa wewe na wengine

No comments:

Post a Comment