Monday, March 15, 2010

duniani tuuliumbwa sawa.hakuna yule alieumbwa zaidi ya mwengine ama mwengine ni muimu kuliko mwengine bali sote ni sawa.kila mtu alipewa akili na akili inakwenda na vile unavyo itumia.ukiamua unataka kujirusha kwenye gorofa utajirusha maana utakua umeamua.katika maisha vilevile kuna watu husahau kama duniani tupo matembezini hivyo basi wakaishi kama hakuna kesho.kuna watu ujitenga na walio chini wakajiona wao wapo juu ya anga.maisha ni mzunguko leo mimi kesho wewe.nakuitaji leo nisaidie .kesho wewe nitakuitaji nitaomba unisaidie.kila siku kuna watu wanakufa na wengine wanazaliwa.unajua ulipotoka ukweli ni kwamba hatujui tunapo kwenda.usie wangu kwa kila atakae soma hii.tusaidiane wakati tungali hai usingoje nife ndio uanzee kunichangia pesa.kama ningali hai na naitaji hela kufanya kitu flani nipe kama unazo.

1 comment:

  1. Naipenda saana hii, usha imba wimbo kuhusu haya maneno?

    ReplyDelete