Wednesday, March 10, 2010

mashauri yawendee watu wazima wenye kuropokwa bila kufikiria.

tusiropokwe bila kufikiri.wakati tunapo oongea kuhusu mambo flani.kwamfano nimepita sehemu mwanamke ana mtukana mwenzake kwa kumwabia kwamba wewe umenenepa bure tu kwani wenye ukimwi ndio wanenepao sikuizi.hii inachangia watoto kutoelewa kwa nini mtu huyu anasema anavyo sema?inakua watoto wanawaogopa sana watu walio na mwili wakidhani wanaukimwi.so plz tusiwe tuna ropokwa tu jamani

No comments:

Post a Comment