Thursday, February 25, 2010

katika maisha kuna leo na kesho. kwaivyo tusiwe tunaishi kama hakuna kesho.kila binadamu anatembea na mauti yake lakini siri ya mungu ni kwamba hakutujulisha siku na wakati wakutuondoa duniani naitabaki siri yake tu.tufanye lakini tujue tuna fanyia vizazi vipya nasio eti tunakwenda navyo kaburini.tuangaliematajiri wenye magari makubwa wengine wenye majigambo wamekwenda wao vingine wameviwacha hapahapa.kwaivyo chochote kidogo unacho mpe na mwenzio ambae hana ili ajibidiishee

that was tid and the 2 galz nyota and the funthis was the video for the song hauna time na mimi ambayo ilikua inafanywa nairobi sehemu ya buruburunyota pekeake,yhen nyota na my brother, then nyota and the love band at the airport going to zanzibar for busara

the show in darisalama. nyota ndogo mwenyewe hapo.