Wednesday, April 7, 2010

mume kutenga familia sikuku

tunajua kwamba watu wawili wakipenda mpaka ikufika kuona uwa wamependa mpaka kifikia hapo.lakini kuna tabia ambazo waume uzianzisha sijui kama uwa ni kumzoea mke wake mpaka hataki kua nae siku kubwa?nazungumzia kuhusu sikuku uwa siku kubwa na familia uwa zinatakikana kua pamoja jamani.lakii uanapata kuna baadhi ya waume uondoka nyumbai kwake asubui ikirudi nyumbani ni saa nane usiku yani asubui na hataki kuulizwa wmetoka wapi.jamani.unaumiza familia yako jamani.wanatoa majibu eti nimekwenda kua na marafiki zangu.yani kwani marafiki ni muimu kuliko familia yako?ebu tuya tafakari haya jamani.kaa na familia yako siku kubwa kama hizi.hope umenipata