Sunday, May 1, 2011

majadiliano tu

mama kamwambia mwanae wakiume kwamba wakati wako wa kuoa nataka upate mke oue ili mimi nipate wajukuu kabla nife.mtot akamjibu mamake.sitaki kuoa mpaka nipate mwanamke nimpendae na kumwambia mamake kwamba maisha ni yangu na ukiniarakisha nitakosa amani kwa kukufuraisha wewe tu.mama akamwambia nitakupa mke na ukimkata ujue utakosa radhi kwangu.anauliza afanyeje?amridhishe mamake

No comments:

Post a Comment