Monday, September 26, 2011

TUSAIDIANE KUFIKISHA UJUMBEE HUU KWA WAKUU WAUSIKA

inasemekana kwamaba ndovu wamezidi kule bura taita.watu hawana amani kabisa na watoto hawaindi shule ama wanalazimika kutoka time isiosawa maana wakichelewa watakutana na ndovu na watawadhuru.wanasema kwamba wameripoti kwa maofisaa wausika na kila wakati wamekua wakiambia wasiwe na wasi wasi na hakuna sheria inayochukuliwa.SASA BASI. KAMA UNAJUA MKUBWA YOYOTE MUUSIKA TUJARIBU KUFIKISHA HUU UJUMBE ILI WATOTO WA BURA WAENDE SHULE BILA WASI WASI

No comments:

Post a Comment