Saturday, February 4, 2012

najiita maskini jeuri maana kunyanyaswa sipendi

mara nyingi uwa najiita maskini jeuri.kwanini?kwakua uwa sipendi mtu kuni nyanyasa kunionyesha kwamba mimi nipo juu yako kwaivyo nisikize mimi.naamini nina msimamo wangu mimi kama nyota.na kama sina na uwezi kunipa basi siwezi kukupigia magoti unipe maana naichukua kama nitakua nimejishukisha adhii yangu. wewe wasemaje?wewe pia ni maskini jeuri kwa njia nzuri?

No comments:

Post a Comment