Friday, February 3, 2012

WAUME VISHINGO

inasemekana kwamaba wana wake wanajua mapenzi kuliko waume.wanasema kwamba waume mara nyingi uwa wanapenda mwanamke amabae anajua kuvaa na kujipaka make up na kunukia vizuri.hao ndio wanaume wanapenda.lakini ukishampata wewe mwenyewe unashindwa kumuangalia na harufu nzuri inapotea nguo nzuri hapati tena na make up hakuna tena.sasa utafata wangapi?mpe mkeo anavyo staili ili anukie na apendeze

No comments:

Post a Comment