Monday, February 6, 2012

leo nisiku ya kuingia studio na produza RK sijawai kufanya kazi nae.lakini wacha tuone tutatoa nini

Saturday, February 4, 2012

najiita maskini jeuri maana kunyanyaswa sipendi

mara nyingi uwa najiita maskini jeuri.kwanini?kwakua uwa sipendi mtu kuni nyanyasa kunionyesha kwamba mimi nipo juu yako kwaivyo nisikize mimi.naamini nina msimamo wangu mimi kama nyota.na kama sina na uwezi kunipa basi siwezi kukupigia magoti unipe maana naichukua kama nitakua nimejishukisha adhii yangu. wewe wasemaje?wewe pia ni maskini jeuri kwa njia nzuri?

Friday, February 3, 2012WAUME VISHINGO

inasemekana kwamaba wana wake wanajua mapenzi kuliko waume.wanasema kwamba waume mara nyingi uwa wanapenda mwanamke amabae anajua kuvaa na kujipaka make up na kunukia vizuri.hao ndio wanaume wanapenda.lakini ukishampata wewe mwenyewe unashindwa kumuangalia na harufu nzuri inapotea nguo nzuri hapati tena na make up hakuna tena.sasa utafata wangapi?mpe mkeo anavyo staili ili anukie na apendeze