Tuesday, January 15, 2013

FIKIRIA MARA MBILI KAMBALA UJASEMA .MAANA BINADAMU SIO KAMILI UJUI KESHO ITAKUAJE

maisha uwa nayaogopa sana.mara nyingi naangalia yakuongea maana ujui utakacho ongea kitamuudhi mwenzako kiasi gani.mimi ujua kuna kesho na pia najua kesho haiwezi kua kama juzi.napenda kuishi maisha yangu simple na sina majivuno na kila mtu namuona sawa katika maisha.leo nikiringa kesho nani atanisaidia?shida haziishi kabisa.hakuna halie kamili katika dunia hii.CHUNGA MDOMO WAKO UNAWEZA KUA SUMU KUBWA KWAKO WEWE MWENYEWE

No comments:

Post a Comment