Saturday, January 5, 2013

USIFANYE KITU KUFURAISHA WATU WENGINE WAKATI MOYO WAKO HAUTAKI KUFANYA KITU HICHO.WEKA FURAHA YAKO MBELE KUEPUKANA NA MARADHI

najua hatuwezi kuishi bila kupenda na kama hauna sio wewe ambae hutaki ila unajifanya utaki.kitu najua kuhusu mapenzi ni kwamba unapopenda uwa unajisahau na kufanya mambo yasio eleweka.hata ukiambiwa husiki wala huoni sio marafiki utawaona wanafiki hata wakikutahadharisha na yanayo kuja.mara nyingi tunaingia majaribuni ama pia tunapenda pasipo penzi hii ni kwakua wewe mwenyewe hujiulizi jee mimi napenda jee huyu mwenzangu anipenda ama napenda mimi tu?jiangalie juu mpaka chini kisha unapoambiwa wapendwa jiulize napendewa nini?hela?heshima?tabia?starehe?ama napenda ndani ya roho?mara nyingi utapata watu wanapenda hata miak kumi na hawajuani tabia zao kwakua wamekimbilia ndoa.wengine wamefata sura nzuri bila kuangalia tabia ya mtu ipoje.hapo inakua mzigo wakati munaishi ndio unaanza kujua kumbe sie yule ulie mdhania.TUKIJA KWANGU KAMA NYOTA.NAAMINI KUA AMANI NDANI YA MOYO WANGU NI MUIMU SANA.NIKIPATA MTU NA ANITESE SIWEZI KUKETI NAE ETI KWAKUA NAOGOPA WATU WATASEMA NINI.MAPENZI NI HIARI YANGU.KAMA HAMFAANI KWANINI MUUMIZANE?MIMI NAWEKA FURAHA YANGU MBELE.NIKIISHI NA MTU AMBAE TUNAZOZANA KILA SIKU NAWEZA KUPATA UGONJWA KAMA PRESHA,MOYO,NA MENGINEO AMBAYO YATAPELEKEA HAFYA YANGU KUDHOUFIKA KWAKUFIKIRIA.KWAIVYO FURAIKA NA USIFANYE KITU KUONEKANA MZURI NA KUMBE HUNA RAHA

No comments:

Post a Comment