Wednesday, August 13, 2014

najua atu wamekua wakisubiri sana nyimbo mapanya kwa mda mrefu sana but kwasasa ndio tunaifanyia kazi kwa sana.kwa wapenzi wa mziki wang.ningependa kuwaambia kidogo kuhusu mapanya yani kwa mashabiki wanaonifatilia kwa sana.mashabiki sugu.hii nyimbo iwaende wote wanao jishuku kua ndio mapanya usipojishuku basi wewe msafi.pia iwaendee mashabiki feki wanaopenda kujifanya wao marafiki kumbe ndio wanao uma wakivivia..kwakweli nachukia sana watu wanao jifanya waowakaribu kumbe wamabali kimoyo mwili wao ndio ukokaribu.kwakweli kama utakua unaichukia nyimbo hii basi sababu utakua unayo mwenyewe.MAPANYA HAO
No comments:

Post a Comment