Friday, March 6, 2015

WASANI WENGINE WAJEURI SANA WANAJISAHAU KUA MASHABIKI NDIO MATARIJI WETU

kwanza kabisa mimi Naweza kusema kua hakuna kitu kizuri kama kua wewe.tuje kwa wasanii wenzangu.juzi jirani yangu aliniambia kua kuna msanii moja alikua anampenda sana nakila akitoa nyimbo lazima akaitafute.yani anasema kua akiskiza nyimbo zake uskia moyo weke umetulia sana.msanii huyu alikuja Mombasa na huyu mama alichukua watoto wake wawili matatu mpaka momabasa kwaajili ya huyu msanii.watu walijaa sana na kila mtu alitaka kumshika mkono huyu msani.huyu mama alisubri mahali alipokua ameketi msanii .alimfata na kutaka kumsalimia msanii alikua amefurisha mdomo mithili ya habri linalotaka kupasuka na kumuambia huyu mama saizi sina tima na kuwaambia mabodigedi wake kua kwanini wanawacha watu kumsongelea.yani kweli wasanii wengine munaharibu jina  la usanii.jee unajua kua huyu mama amemchukia huyu msanii mpaka kuchoma cd zake zote.MASHABIKI WAKIKUKATAA WEWE KWISHA.NDIO MATAJIRI WETU.WASIPOKUJA KWENYE SHOW HAUNA HELA..

No comments:

Post a Comment