Thursday, March 5, 2015

WANAWAKE WENGINE WANAPENDA WANAUME WENYE PESA NA MAGARI LAKINI WOTE WAMEOA

wanawake wengine uwa wanapenda sana wanaume wenye hela na  magari makubwa bila kujali mtu huyu amevipata vipi.wanaume wenye hela zao munajua kama uwa hawapo single? uwa wemeoa.uwa wameoa wanawake ambao wamekua nao toka wakati wapo chíni kimaisha yani wamesota pamoja toka hawana mpaka sasa mume yupo Sawa wapo pamoja.wewe unataka uvikute uvile bila yakuvitolea jasho.wanawake amkeni bwana acheni uvivu.SIO WANAWAKE WOTE WANATABIA HII.BAHADHI YETU

No comments:

Post a Comment