Tuesday, August 9, 2016yalikua  makaribisho mazuri sana apo safari ilikua ndefu sana ila nashukuru nilifika nikawafuraisha na vile vile nikarudi home salama.holla ndio kunaitwa club jina karumaindo show ilikua tarehe 5 mwezi huu 2016

No comments:

Post a Comment