Thursday, August 25, 2016
Tuesday, August 9, 2016
Thursday, February 11, 2016
Friday, March 6, 2015
WASANI WENGINE WAJEURI SANA WANAJISAHAU KUA MASHABIKI NDIO MATARIJI WETU
kwanza kabisa mimi Naweza kusema kua hakuna kitu kizuri kama kua wewe.tuje kwa wasanii wenzangu.juzi jirani yangu aliniambia kua kuna msanii moja alikua anampenda sana nakila akitoa nyimbo lazima akaitafute.yani anasema kua akiskiza nyimbo zake uskia moyo weke umetulia sana.msanii huyu alikuja Mombasa na huyu mama alichukua watoto wake wawili matatu mpaka momabasa kwaajili ya huyu msanii.watu walijaa sana na kila mtu alitaka kumshika mkono huyu msani.huyu mama alisubri mahali alipokua ameketi msanii .alimfata na kutaka kumsalimia msanii alikua amefurisha mdomo mithili ya habri linalotaka kupasuka na kumuambia huyu mama saizi sina tima na kuwaambia mabodigedi wake kua kwanini wanawacha watu kumsongelea.yani kweli wasanii wengine munaharibu jina la usanii.jee unajua kua huyu mama amemchukia huyu msanii mpaka kuchoma cd zake zote.MASHABIKI WAKIKUKATAA WEWE KWISHA.NDIO MATAJIRI WETU.WASIPOKUJA KWENYE SHOW HAUNA HELA..
Thursday, March 5, 2015
WANAWAKE WENGINE WANAPENDA WANAUME WENYE PESA NA MAGARI LAKINI WOTE WAMEOA
wanawake wengine uwa wanapenda sana wanaume wenye hela na magari makubwa bila kujali mtu huyu amevipata vipi.wanaume wenye hela zao munajua kama uwa hawapo single? uwa wemeoa.uwa wameoa wanawake ambao wamekua nao toka wakati wapo chÃni kimaisha yani wamesota pamoja toka hawana mpaka sasa mume yupo Sawa wapo pamoja.wewe unataka uvikute uvile bila yakuvitolea jasho.wanawake amkeni bwana acheni uvivu.SIO WANAWAKE WOTE WANATABIA HII.BAHADHI YETU
Monday, September 8, 2014
Subscribe to:
Posts (Atom)