Friday, July 27, 2012

HII KENYA TUNA SEREKALI?

kenya imekua kama nchi isiokua na serekali ama kiongozi.maskini anazidi kua maskini na tajiri anazidi kua tajiri.lakini jiulize kwanini nasema hivi?jikiwa waziri mtu mzima anaweza kuongea hadharani kuhusu sketi za shule na kusema kwamba ni haki ya watoto hao kuvaa sketi hizo maana mungu amewatengeneza kwaivyo wawacheni waonyeshe walichopewa na mungu.hii inampa sura gani waziri huyu wakati tunajua kuna watu wanawanyapia watoto wa shule na pia wengine kurepiwa kwaajili ya nguo wanazo vaa.alafu maadae anakataa kua hakuongea hivyo.swali ni UWA WANAONGEA BILA KUFIKIRIA WANANCHI WATAFIKIRIAJE?AMA UWA NIKUTOJALI HATA WAZAZI WA WATOTO HAWA?MAANA MZAZI ANAFUNZA MTOT HIVI WEWE UNASEMA VILE.WEWE KAMA MKENYA HII NCHI TUNATAWALIWA NA KINA NANI?BURE KABISA................kitu chengine ni.wakati watu wanaji nunulia manyumba makubwa makubwa kwenye serekali je wanawakumbuka watu waliowapigia kura na bado wapo sehemu yanii IDP wakimbizi kwao nyumbani.uchaguzi unakaribia maskini ya mungu jee yakitokea yaliotokea mwaka ule yani kukizuka vita wale watu watakuaje?tunaishi kama hatuna serekali.waliwadanganya watu wa kibera kua wanawajengea nyumba ili waondoke kwenye mabanda nyumbazilipojengwa chakushangaza ni bado wapo mabandani na zile nyumba wamepangishiwa watu matajiri jee KENYA KUNA SEREKALI?walionunua plot na kujenga nyumba zao wamechukua loan benki gafla wanabomolewa nyumba zao wakiambiwa kua hapo mahali sio kwao na wana kila kitu chakuonyesha kua wamenunua.hii inamaanisha nini?ufisadi upo kwenye kila ofisi maana umepitia njia zote za haki alafu baadae anakuja kukuambia kua sio yako nayeye ndie aliekutilia muhuri.alafu serekali haingili kabisaa?JE KENYA TUNASEREKALI?hadi leo serekali hawajatoa hatua itakayo chukuliwa kwa mtu anakae stakiwa kwa kunajisi mtu.hii swala wanalichukua kawaida yani kenya ni kawaida na ndio maana visa vyo rape vimezidi sana maana serekali haijali.leo wakitoa hukumu ya kua atakae shikwa na kesi ya kunajisi akatwe makende yake yote yataisha.lakini laa nikitu cha kawaida mpaka sasa hata wazazi wakiona watoto wao wanawanajisi kwaajili hakuna kesi.HII KENYA TUNA SEREKALI?