Wednesday, July 29, 2009
kuna vitu vingi sana ambavyo tunaweza kuviongelea.hebu tuongelee hela.kwanza tuongelee uzuri wake.kila mtu yupo duniani kutafuta maisha.nakupata maisha mazuri lazima uwe na hela.kuna vitu vingi binadamu anaweza kufanya kujiendekeza kimaisha bora uwe unaweza kufanya bila kupitia njia ya udanganyifu.muuza tomato akiendeleza biasha yake inaweza kumnunulia hata nyumba.langu ni sio lazima uwe unafanya kazi benki ndio ununue nyumba.kila mtu anashida zake kwaivyo badala ya kulalamika saa zote tumia akili.ama naongea vibaya?
Tuesday, July 28, 2009
voi
Kinyango Cha Mama wa Kambo!
Kinyago hiki kilitumika kwa video ya mama wa kambo.yani niliiweka kama kusema mtu mwenye roho mbaya nikama mchawi.unawezaje kutaka kumuua mtoto wa mwenzako ambae alisikia uchungu wakati aki mzaa mwanae kama wewe ulivyo mzaa mwanao? tuwapende watoto wa wenzetu maana ujui nani atakae kufaa kesho.
..................................................................................................
This African Artifact was used during the video shooting of my song" Mama wa Kambo" (Step-Mother)...I used it to symbolise an evil heart is like a witchcraft. How is it possible to kill a child of someone else who also experienced pain while giving birth as you. Lets love the children of others coz you never know who will be a stepping stone to your destiny!!!....Love is the Greatest gift!!!!
Labels:
African art,
Kenya,
Mombasa,
Nyota Ndogo songs
mji wa mombasa
Siku ya Video!
Nyota na Zawadi.Alikua mcheza show wangu sasa ni muimbaji kama mimi.Tumpe sapoti ya nguvu jamani nae atoke.Siku ya video.
...........................................................................................
Nyota and Zawadi!!!....Zawadi used to be one of my Best dancers but now she is a singer/musician just like me!!!...Lets all join our efforts and support her.....Indeed she will excel....The seed of Greatest NEVER dies. In this photo....it was during the shooting of my video.
show ya sarakasi mombasa
Mombasa Jamboree
Kakangu Mpendwa
Munamjua huyu kijana mdogo? Huyu ni Juma Tutu wakati na hu alikua yupo shuleni na ana ndoto za kua mwanamziki. Kweli hakuna mtu mwembamba duniani.Juma Tutu ni mkubwa wangu, yani ndugu yangu toka ni toke. Wakati huu alikua shindano sasa ukimuona amekua zinganga la mwana baba.Nakupenda kama Sukari.
..........................................................................................................
Do we all remember this young man?..He is Juma Tutu. At this time he was still in school but still having the DREAM of being a musician...Indeed there is nothing like being " petite" in this world. Juma Tutu is my elder brother...but should you see him now....he has taken advantage of the mening of being "BIG"..or should i say healthy big bro!!!....Mwaaaaah!!!!...I love you like sugar!!!
ndani ya ukunda
makumbusho jamani
Siku nyingi joooooo.kwa mara ya kwanza nyota ndogo kukaribishwa Zanzibar mwaka wa elfu mbili.Hawa unaowaona hapo ni kikundi cha Njenje mwenyewe..."Kinyaunyau"!!!!
....................................................................................
Many days o!!!!...For the first time, I was invited to Zanzibar on Year 2000....This is the group of the real "Njenje" Musicians:......"Kinyaunyau"!!!!
Tumetoka Mbali...We`ve come from far!!!!
jamani wangapi wanamjua huyu mrembo?huyu anaitwa mwanaisha abdallah mohamed.wakati huu alikua mfanya kazi wa nyumbani.sasa ndie nyota ndogo.nimeiweka makusudi hili watu wajue tumetoka mbali.wengi uona kua wanadanganywa wakiambiwa nilikua house gal!
............................................................................................................
Honestly speaking!!....How many of you recognize this beautiful lady in a Hijab...He name is Mwanaisha Abdallah Mohammed. At this time i was a house girl but for now my name has changed to "Nyota Ndogo". I have uploaded this picture purposely so that you areaware that people come from far!!!...So for those who think its a lie....there you have it!!!...am seated outside the corridor of my boss` house...!!!!...Its called LIFE!!
Monday, July 27, 2009
East Africa TV Interview.....
Siku ya kupanda miti!!!!
Black is beautiful!!!!!
hebu tumwagalie mwanamke wa kiafrika an anavyopendeza na kikoi chake..sio twende tukajibleach tukaaribu uzuri wa mwenyezi Mungu!!!!...
There She goes!!!!!....An black African Woman whose beauty surpasses all....how outstanding in her Kikoi covering....i wonder why we go to an extent of bleaching ourselves and destroy Gods ordained beauty!!!!!!....I wonder why?? @@##$$%^&&
Subscribe to:
Posts (Atom)