Saturday, September 14, 2013
nilijifunza mengi kufanya mziki na wanamziki kutoka nchi mabali mabli kueza kunicheze mziki wangu.ilisound tafauti lakini ilikua tamu zaidi kuonja mkono wa huyu na yule
Wednesday, July 3, 2013
NANI ANAPENDA PHOTO KAMA MIMI?
BADO HAIJAISHA .MAMBO POLE POLE.NIKIMALIZA NYOOOOOOTE NTAWAITA
ma inlove with voi.atakae nitoa hapa lazima apitie kwa mwenyezi MUNGU
mara ya kwanza walisema nipo msituni sijui saizi watasemaje? wambea nawachukue
just mapoz kabla ya show kwenda mshomoroni kandogo
Friday, March 15, 2013
ilikua siku ya kuamkia upigaji kura.ilikua tarehe tatu siku ya kumakia kupiga kura tarehe nne
thats my beautiful house.inaendelea kurembeka pole pole
Sunday, February 24, 2013
in malindi
show kama kawa kueneza amani
Newer Posts
Older Posts
Home
Subscribe to:
Posts (Atom)