Tuesday, August 4, 2009

mziki ni kazi


nafanya mambo kama kawa

katika hali ya kujieleza kupitia mziki.nyota akiwa na love band
leo nimeboeka sana ila ukiniuliza sijui kilicho ni boesha

wasanii wasanaaa ya silaaaa

susumila,nyota ndogo,nzula makosi,salua,bink na wengineo

wanaume family dar mpaka molo.kwenye show ya mambo mseto

adio of the song nikiwa ndani wapiga kelele nikitoka nje una nunanuna.huyo jamaa katikati ndio dj bunduki jamani yukeeeeeee wa lambada