Tuesday, August 4, 2009
mwala
nae mwala anajua kuliwaza mwana mama
hapo chacha
daddy sele mwenyewe ndani ya kambada akisubiri kuamwagia mafans wake nyimbo zake
mwala mtoto wa watu.eti alikuaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa anjaribu kuuuuuuuuuuuuuuu wacha tuuuuuuuuuuuuuuuu
kinyago
huyu kinyago ni dancer wa siku ya mambo mseto kwa show ya nn
Monday, August 3, 2009
mambo mseto
hapo nipo na nzula makosimwana dada mtangazaji wa radio kaya huyu mwengine anaitwa pidei.na huyu nae hapo simunamjua?
mambo mseto
mambo mseto ndani ya nyumba.hivi ndivyo wasanii tunatakiwa kua.tupendane
mambo mseto
mambo mseot jamani kama ulikosa basi ulikoswa.watu kibao jamani yani wewe wacha tu.
Newer Posts
Older Posts
Home
Subscribe to:
Posts (Atom)