Thursday, March 5, 2015
WANAWAKE WENGINE WANAPENDA WANAUME WENYE PESA NA MAGARI LAKINI WOTE WAMEOA
wanawake wengine uwa wanapenda sana wanaume wenye hela na magari makubwa bila kujali mtu huyu amevipata vipi.wanaume wenye hela zao munajua kama uwa hawapo single? uwa wemeoa.uwa wameoa wanawake ambao wamekua nao toka wakati wapo chÃni kimaisha yani wamesota pamoja toka hawana mpaka sasa mume yupo Sawa wapo pamoja.wewe unataka uvikute uvile bila yakuvitolea jasho.wanawake amkeni bwana acheni uvivu.SIO WANAWAKE WOTE WANATABIA HII.BAHADHI YETU
Monday, September 8, 2014
Wednesday, August 13, 2014
najua atu wamekua wakisubiri sana nyimbo mapanya kwa mda mrefu sana but kwasasa ndio tunaifanyia kazi kwa sana.kwa wapenzi wa mziki wang.ningependa kuwaambia kidogo kuhusu mapanya yani kwa mashabiki wanaonifatilia kwa sana.mashabiki sugu.hii nyimbo iwaende wote wanao jishuku kua ndio mapanya usipojishuku basi wewe msafi.pia iwaendee mashabiki feki wanaopenda kujifanya wao marafiki kumbe ndio wanao uma wakivivia..kwakweli nachukia sana watu wanao jifanya waowakaribu kumbe wamabali kimoyo mwili wao ndio ukokaribu.kwakweli kama utakua unaichukia nyimbo hii basi sababu utakua unayo mwenyewe.MAPANYA HAO
Subscribe to:
Posts (Atom)
