
mazungumzo ya ana kwa ana hayo.huyu ni mwanamziki chipukizi wa mombasani anaitwa mama sizo.niliku nae katika best f artist.ni mwanadada ambae anapenda sana mziki adi akafikiria heri afanye kitu anacho kipenda.karibu sana mama sizo katika ulimwengu wa mzilki.tukishirikiana tutafika mbali sana
No comments:
Post a Comment