NAJIANDA KUFANYA TALK SHOW HIVI KARIBUNI.NITAKUA NAZUNGUAMZI MAMBO YA KAWAIDA NA NILITAKA KUJUA KUTOKA KWENU VISANGA GANI ZINAZOTOKEA MITAANI.NIAMBIE NIJE KUFANYA UTAFITI NA KUONGE NA WENYE SHIDA HIZI ILI TUZIANGAZE NA KUZITATUA.CHOCHOTE KINACHO KUKERA WEWE NAMBIE TUIZUNGUMZIE NA PIA KAMA UNGEPENDA KUA KWENYE TALK SHOW NAKWAMBIA KARIBU.HEBU NIAMBIENI.KUNA NINI HAPO MTAANI KWAKO?KUNA MAJI?NANI ANAUSIKA KAMA HAKUNA?TUNAMFATILIA TUJUE KULIKONI JE KUNA MUME MWENYE KUMPIGA MKEWE?JE UNAJUA SABABU?KAMA HUJUI NIITE NIJE MIMI NITAULIZA SABABU NA NITAPATA JIBU
hebu nipeni topics
ReplyDeleteTALK SHOW HII ITAANZA NITAKAPO PATA VISA VINGI KAMA KUMI NA TANO HIVI.NIITE NITAKUJA
ReplyDelete