am having a tour with citizen.am so so so happy that citizen wame ni chagu mimi.inaonyesha vile kuna upendo kati ya wasanii na wana redio.its not easy  kwa radio kumchagua msanii maana ni wengi ndio maana nafurai kua  nimechaguliwa mimi. safari ikiwa inaanza kesho yaani 24 to30 nivizuri kumshukuru mungu kwa haya yote na ningetaka kusema  hasante.chochote tunachofanya lazima tumueke mungu mbele maana yupo nasi kila saa na dakika.
No comments:
Post a Comment