Katika maisha kuna kila aina ya watu. kuna marafiki wa kweli na wanafiki.vipi utakavyo mjua huyu ni rafiki?mmmmmmmmmmmmmmm swali gumu kweli lakini nitakwambia ninavyo fikiria mimi.Unaweza kupata mtu ambae utahisi anakupenda kwa kujaribu kukusaidia wakati wa shida ama pale unapo muitaji.Mtu kama huyu mueke sana karibu na wewe maana ndio rafiki yako wa kweli. Ikiwa anaweza kukusaidia wakati wa shida na asikuseme kwa watu basi nimtu mzuri sana. lakini akikusaidia kisha akuseme nje basi jua anafuraikia shida zako na hataki upate anataka ukose ili akupatie na akuseme njee.ndio raha yake.
.............................................................................................................................................................................
In this life, there are all kinds of people. Some are your friends whilst some are simply hypocrites.How do you identify a friend?....mmmmmmmm quite a tough issue to handle but ill still share my mind with you. At times you will sense the need of someone to assist/help you while you are in need. Such a person always never take them for guaranteed...keep them by your side.If someone doesnt expose yourmatter to the outside world then you have got yourself a true friend but a person who will discuss your matter with others just know he/she is not happy with your success....doesnt rejoice with you when you have!!!!!...Thats their nature!!!...and thats a hypocrite!!!!
Thats True! True stori...!
ReplyDelete