Monday, November 23, 2009

am so so so happy.

am having a tour with citizen.am so so so happy that citizen wame ni chagu mimi.inaonyesha vile kuna upendo kati ya wasanii na wana redio.its not easy kwa radio kumchagua msanii maana ni wengi ndio maana nafurai kua nimechaguliwa mimi. safari ikiwa inaanza kesho yaani 24 to30 nivizuri kumshukuru mungu kwa haya yote na ningetaka kusema hasante.chochote tunachofanya lazima tumueke mungu mbele maana yupo nasi kila saa na dakika.

Wednesday, November 18, 2009

Check me Out Here!!!!

http://nyotandogo.blogspot.com/2009_09_01_archive.html

Wazo

Katika maisha kuna kila aina ya watu. kuna marafiki wa kweli na wanafiki.vipi utakavyo mjua huyu ni rafiki?mmmmmmmmmmmmmmm swali gumu kweli lakini nitakwambia ninavyo fikiria mimi.Unaweza kupata mtu ambae utahisi anakupenda kwa kujaribu kukusaidia wakati wa shida ama pale unapo muitaji.Mtu kama huyu mueke sana karibu na wewe maana ndio rafiki yako wa kweli. Ikiwa anaweza kukusaidia wakati wa shida na asikuseme kwa watu basi nimtu mzuri sana. lakini akikusaidia kisha akuseme nje basi jua anafuraikia shida zako na hataki upate anataka ukose ili akupatie na akuseme njee.ndio raha yake.
.............................................................................................................................................................................

In this life, there are all kinds of people. Some are your friends whilst some are simply hypocrites.How do you identify a friend?....mmmmmmmm quite a tough issue to handle but ill still share my mind with you. At times you will sense the need of someone to assist/help you while you are in need. Such a person always never take them for guaranteed...keep them by your side.If someone doesnt expose yourmatter to the outside world then you have got yourself a true friend but a person who will discuss your matter with others just know he/she is not happy with your success....doesnt rejoice with you when you have!!!!!...Thats their nature!!!...and thats a hypocrite!!!!