Wednesday, April 7, 2010

mume kutenga familia sikuku

tunajua kwamba watu wawili wakipenda mpaka ikufika kuona uwa wamependa mpaka kifikia hapo.lakini kuna tabia ambazo waume uzianzisha sijui kama uwa ni kumzoea mke wake mpaka hataki kua nae siku kubwa?nazungumzia kuhusu sikuku uwa siku kubwa na familia uwa zinatakikana kua pamoja jamani.lakii uanapata kuna baadhi ya waume uondoka nyumbai kwake asubui ikirudi nyumbani ni saa nane usiku yani asubui na hataki kuulizwa wmetoka wapi.jamani.unaumiza familia yako jamani.wanatoa majibu eti nimekwenda kua na marafiki zangu.yani kwani marafiki ni muimu kuliko familia yako?ebu tuya tafakari haya jamani.kaa na familia yako siku kubwa kama hizi.hope umenipata

Monday, March 15, 2010

duniani tuuliumbwa sawa.hakuna yule alieumbwa zaidi ya mwengine ama mwengine ni muimu kuliko mwengine bali sote ni sawa.kila mtu alipewa akili na akili inakwenda na vile unavyo itumia.ukiamua unataka kujirusha kwenye gorofa utajirusha maana utakua umeamua.katika maisha vilevile kuna watu husahau kama duniani tupo matembezini hivyo basi wakaishi kama hakuna kesho.kuna watu ujitenga na walio chini wakajiona wao wapo juu ya anga.maisha ni mzunguko leo mimi kesho wewe.nakuitaji leo nisaidie .kesho wewe nitakuitaji nitaomba unisaidie.kila siku kuna watu wanakufa na wengine wanazaliwa.unajua ulipotoka ukweli ni kwamba hatujui tunapo kwenda.usie wangu kwa kila atakae soma hii.tusaidiane wakati tungali hai usingoje nife ndio uanzee kunichangia pesa.kama ningali hai na naitaji hela kufanya kitu flani nipe kama unazo.

still at the big tree kama kawaida





the show @big tree jana





Wednesday, March 10, 2010

mashauri yawendee watu wazima wenye kuropokwa bila kufikiria.

tusiropokwe bila kufikiri.wakati tunapo oongea kuhusu mambo flani.kwamfano nimepita sehemu mwanamke ana mtukana mwenzake kwa kumwabia kwamba wewe umenenepa bure tu kwani wenye ukimwi ndio wanenepao sikuizi.hii inachangia watoto kutoelewa kwa nini mtu huyu anasema anavyo sema?inakua watoto wanawaogopa sana watu walio na mwili wakidhani wanaukimwi.so plz tusiwe tuna ropokwa tu jamani

Thursday, February 25, 2010

katika maisha kuna leo na kesho. kwaivyo tusiwe tunaishi kama hakuna kesho.kila binadamu anatembea na mauti yake lakini siri ya mungu ni kwamba hakutujulisha siku na wakati wakutuondoa duniani naitabaki siri yake tu.tufanye lakini tujue tuna fanyia vizazi vipya nasio eti tunakwenda navyo kaburini.tuangaliematajiri wenye magari makubwa wengine wenye majigambo wamekwenda wao vingine wameviwacha hapahapa.kwaivyo chochote kidogo unacho mpe na mwenzio ambae hana ili ajibidiishee

that was tid and the 2 galz nyota and the fun



this was the video for the song hauna time na mimi ambayo ilikua inafanywa nairobi sehemu ya buruburu