Saturday, December 29, 2012

hasidi fungua shule sabasi akasome

waswahili wana maneno mazito sana.nimelisoma hili neno sehemu nikasema kunawatu wanajua kuunganisha maneno kwakweli.haya wewe ongezea yako jimpya.

THE MAKING OF THE VIDEO TUNATAKA AMANI

barka abdallah turning 2years.shes my dotailikua siku yakuzaliwa ya barka 24th of dcmber

shes my dota.barka abdallah.

MWAKA MPYA MAMBO MAPYA KWA UWEZO WAKE MUNGU TUTAFANIKISHA.

kila mtu anataka amani hakuna naetaka kue na machafuko ya kivita kama mwaka wa elfu mbili na saba elfu mbili na nane.hii imepelekea mimi kama msanii kujitolea kufanya nyimbo ya amani na sio nyimbo tu bali pia kufunza watu jinsi ya kuishi na amani.maana hata mukipigana nyie ndio mutaumia na walio wafanya nyie kupigana watakua mbali na nyinyi wakati wa shida.aangaliaI.D.P mpaka leo wapo palepale kwanini?hii nikwasababu ya fujo leo waliokua matajiri na wapangaji wao wanaishi kwa hali moja kwaajili ya vita.nyimbo hii inaitaa tunataka AMANInyimbo imeisha video pia imeisha tunasubiri kuitoa mwaka ujao yani januari.naitaji sana sapoti ili tueneze amani.kila mtu kupata ujumbe uwezi kujua inaweza badilisha mambo yakawa tafauti na nyuma