Monday, September 26, 2011

TUSAIDIANE KUFIKISHA UJUMBEE HUU KWA WAKUU WAUSIKA

inasemekana kwamaba ndovu wamezidi kule bura taita.watu hawana amani kabisa na watoto hawaindi shule ama wanalazimika kutoka time isiosawa maana wakichelewa watakutana na ndovu na watawadhuru.wanasema kwamba wameripoti kwa maofisaa wausika na kila wakati wamekua wakiambia wasiwe na wasi wasi na hakuna sheria inayochukuliwa.SASA BASI. KAMA UNAJUA MKUBWA YOYOTE MUUSIKA TUJARIBU KUFIKISHA HUU UJUMBE ILI WATOTO WA BURA WAENDE SHULE BILA WASI WASI

Wednesday, September 21, 2011

NAJIANDA KUFANYA TALK SHOW HIVI KARIBUNI.NITAKUA NAZUNGUAMZI MAMBO YA KAWAIDA NA NILITAKA KUJUA KUTOKA KWENU VISANGA GANI ZINAZOTOKEA MITAANI.NIAMBIE NIJE KUFANYA UTAFITI NA KUONGE NA WENYE SHIDA HIZI ILI TUZIANGAZE NA KUZITATUA.CHOCHOTE KINACHO KUKERA WEWE NAMBIE TUIZUNGUMZIE NA PIA KAMA UNGEPENDA KUA KWENYE TALK SHOW NAKWAMBIA KARIBU.HEBU NIAMBIENI.KUNA NINI HAPO MTAANI KWAKO?KUNA MAJI?NANI ANAUSIKA KAMA HAKUNA?TUNAMFATILIA TUJUE KULIKONI JE KUNA MUME MWENYE KUMPIGA MKEWE?JE UNAJUA SABABU?KAMA HUJUI NIITE NIJE MIMI NITAULIZA SABABU NA NITAPATA JIBU


Tuesday, September 20, 2011

Wednesday, September 14, 2011

its gud to be a mum.am proud to a mum of 2

its gud to be a mum and am proud to be a mum.siwezi kuficha .make your self beautiful siku zote  na you will look young ya ni sexy mama hahahahahaha my son is MBARAK MY DOTA IS BARKA.this is my lovely family

ijumaa hii nitakua  meru kwa show ya kukata na shoka .kama  na kama upo meru basi usikos kutokea iku hio

Sunday, September 11, 2011


this is my house.nani kasema najengewa na mume?kama wewe unafikiria najengewa na mume wewe ni pure kabisa

hivi karibuni


show nilizofanya karibuni.


photos by bobby pal
photoz by bobby pal.unataka photo?nitakupa no


PHOTO MY BOBBY PAL.ukitaka kupigwa picha niambie.

still in mayotte comorrow watu wangu.huyu jamaa mwamuona hapa ndio mwenyeji wetu kule comorrow na sio kama gazeti lilivyo andika hapo jana
mayotte comoro island.the show was gud.watu wengi walijitokeza kwa wingi


yes was kim for love show in ukunda last year.ilikua poa sana

wakati tunafanya video ya wanaume na rickey mulolo.nyimbo iliopendwa na wengi sana na safari hii niliamua kujaribu colabo na mkongo