Tuesday, January 15, 2013

FIKIRIA MARA MBILI KAMBALA UJASEMA .MAANA BINADAMU SIO KAMILI UJUI KESHO ITAKUAJE

maisha uwa nayaogopa sana.mara nyingi naangalia yakuongea maana ujui utakacho ongea kitamuudhi mwenzako kiasi gani.mimi ujua kuna kesho na pia najua kesho haiwezi kua kama juzi.napenda kuishi maisha yangu simple na sina majivuno na kila mtu namuona sawa katika maisha.leo nikiringa kesho nani atanisaidia?shida haziishi kabisa.hakuna halie kamili katika dunia hii.CHUNGA MDOMO WAKO UNAWEZA KUA SUMU KUBWA KWAKO WEWE MWENYEWE

SIKU YANGU NZIMA ILIVYOKUA NIKIWA NA PRODUZA TOTTI

Sunday, January 6, 2013

imagine kila mkenya angetumia internet kutangaza amani INGEKUAJE?

KILA MTU ANATAKA AMANI LAKINI TUTAIPATAJE KAMA HATUTAITANGAZA?MIMI NAKUITAJI TUSAIDIANE KUTANGAZA AMANI KENYA HII.TUNAJUA WATU NIWAOGA NA HAWAJUI ITAKUAJE WAKATI WA UCHAGUZI LAKINI NAAMNI KILA KITU KITAKUA SAWA ILIWA TUTASHIRIKIANA  KUENEZA AMANI POPOTE ULIPO NA SIO KWA MTANDAO TU ILA POPOTE ULIPO.nyimbo yangu ipo tayari na video pia ipo tayari nachoitaji ni ushirikiano wa ujumbe kufika kila sehemu

Saturday, January 5, 2013

USIFANYE KITU KUFURAISHA WATU WENGINE WAKATI MOYO WAKO HAUTAKI KUFANYA KITU HICHO.WEKA FURAHA YAKO MBELE KUEPUKANA NA MARADHI

najua hatuwezi kuishi bila kupenda na kama hauna sio wewe ambae hutaki ila unajifanya utaki.kitu najua kuhusu mapenzi ni kwamba unapopenda uwa unajisahau na kufanya mambo yasio eleweka.hata ukiambiwa husiki wala huoni sio marafiki utawaona wanafiki hata wakikutahadharisha na yanayo kuja.mara nyingi tunaingia majaribuni ama pia tunapenda pasipo penzi hii ni kwakua wewe mwenyewe hujiulizi jee mimi napenda jee huyu mwenzangu anipenda ama napenda mimi tu?jiangalie juu mpaka chini kisha unapoambiwa wapendwa jiulize napendewa nini?hela?heshima?tabia?starehe?ama napenda ndani ya roho?mara nyingi utapata watu wanapenda hata miak kumi na hawajuani tabia zao kwakua wamekimbilia ndoa.wengine wamefata sura nzuri bila kuangalia tabia ya mtu ipoje.hapo inakua mzigo wakati munaishi ndio unaanza kujua kumbe sie yule ulie mdhania.TUKIJA KWANGU KAMA NYOTA.NAAMINI KUA AMANI NDANI YA MOYO WANGU NI MUIMU SANA.NIKIPATA MTU NA ANITESE SIWEZI KUKETI NAE ETI KWAKUA NAOGOPA WATU WATASEMA NINI.MAPENZI NI HIARI YANGU.KAMA HAMFAANI KWANINI MUUMIZANE?MIMI NAWEKA FURAHA YANGU MBELE.NIKIISHI NA MTU AMBAE TUNAZOZANA KILA SIKU NAWEZA KUPATA UGONJWA KAMA PRESHA,MOYO,NA MENGINEO AMBAYO YATAPELEKEA HAFYA YANGU KUDHOUFIKA KWAKUFIKIRIA.KWAIVYO FURAIKA NA USIFANYE KITU KUONEKANA MZURI NA KUMBE HUNA RAHA