Tuesday, July 28, 2009


babangu mzazi akiwa wakati huo ndani ya sabasaba mombasani akilisakata gita lake.ongera mzee abdallah kwa kutupa moyo wa kufanya mziki na na sisi. ahsante sana baba na mungu akupe maisha marefu ili uone mafanikio yetu.love u

No comments:

Post a Comment