Tuesday, July 28, 2009

Kinyango Cha Mama wa Kambo!


Kinyago hiki kilitumika kwa video ya mama wa kambo.yani niliiweka kama kusema mtu mwenye roho mbaya nikama mchawi.unawezaje kutaka kumuua mtoto wa mwenzako ambae alisikia uchungu wakati aki mzaa mwanae kama wewe ulivyo mzaa mwanao? tuwapende watoto wa wenzetu maana ujui nani atakae kufaa kesho.
..................................................................................................
This African Artifact was used during the video shooting of my song" Mama wa Kambo" (Step-Mother)...I used it to symbolise an evil heart is like a witchcraft. How is it possible to kill a child of someone else who also experienced pain while giving birth as you. Lets love the children of others coz you never know who will be a stepping stone to your destiny!!!....Love is the Greatest gift!!!!

No comments:

Post a Comment