Monday, August 10, 2009

bantu na nyota ndogo


weweeeeeeeeeeee bantu ndani ya nyumbaaaaaaaaaaaaaaa.awa ni wasanii ambao wapo juuuuu sana kimziki lakini kuna baadhi ya watu ambao wawa thamini mziki wa pwani na wapo pwani.wewe kama ni wa pwani na hauthamini mziki wa pwani.tukueze wapi?nisawa nakusema wewe haujieshimu mwenyewe

No comments:

Post a Comment