Wednesday, August 5, 2009

mombasa music day


ilikua siku ya juma pili siku ya mombasa music day.mombasa tunakuja kali kinyama.nani alisema mpaka tushikwe mkono?mombasa twajiweza wenyewe bora ushirikiano na bifu tuzitupilie mbali.yufanye kazi pamoja tujenge usanii mombasa.hawa wote ni wapenzi wa mziki wa pwani.picha hii sio ya kutengezezwa bali hawa watu ni walio kuja kweli.nitazidi kuajulisha matokeo kila yanapo jiri.kuhusu pwani ya mombasa

No comments:

Post a Comment