Thursday, August 6, 2009

usia wangu kwa wanao taka kua wanamziki.uwe mume ama mke.ukiingia kwenye ulimwengu wa mziki unatakikana ujue kuna vitu ambavyo vinaweza kukufanya ukawacha mzili kabisa.ila ukijua kinachokufanya ufanye mzikiki basi hakuna kitakachokurudisha nyuma kamwe.wengi wameuliza mbona waschana nikidogo waimbaji?kitu nitawaambia ni kwamba waimbaji ni wengi sana wakike ila wanapenda sana uzungu yani kuimba kama wakina beyonce.jamani lini tutajivunia kua sisi ni wa kenya na tunaipenda lugha yetu?sawa kuna wale wanaimba kiswaili lakini kwa njia ya wale wale wazungu inakua ni ngumu kutoka.waimbaji munao kuja saizi .kuna watu wapo kuasifu na kuaribu akili zenu kwa kuasifu mpaka munajisahau kua mnatakikana kufanya mziki munazidisha makeup nyimbo munasahau kuandika mwisho munapotea kimziki watu wanawasahau kimziki na kiurembo.poleni kama nitakua nimewakawza kwa maneno ila nataka waimbaji wawe wengi wakike kenya sooooootuna fundishana.

No comments:

Post a Comment