Thursday, August 6, 2009

walanguzi wote washindwe


kisima ya mwaka 2007.hapa ndio niliibiwa kisima nikasema sitaingia tenaa na yesssssss sitaingia tena.maaana unaweza kufanya bidii na haki yako usipewe.ulagai upo kila sehemu.shetani ashindwe yeye na babake na mamake na wengineo wote

No comments:

Post a Comment