Monday, August 10, 2009

mama sizo na nyota ndogo


huyu ndio mama sizo.mazungumzo ya ana kwa ana,mama sizo ni mwanamziki ambae ni chipukuzi sana katika mziki.mama sizo alipenda mziki sana mpaka akaona ajaribu bahati yake.nakweli mziki hauna mwenyewe kila mtu anaweza kuimba bora uamue.mama sizo ana sauti nzuri sana ya kumtoa nyako pangoni.tushirikiane tufikishe mziki wa pwani mbali.

No comments:

Post a Comment