Wednesday, August 5, 2009

mombasa music day.


wasanii wapwani.hii ni picha ya wasanii tafauti wakionyesha upendo.iwe kila siku jamani. kila mtu alikua akionyesha na kuuza vitu vyake kama vile cdz,tisheti,mwenye kofia,lakini kizuri ni kwamba tunaweza kakaa pamoja

No comments:

Post a Comment