Monday, August 10, 2009

sudi boy


sasa ngojeni niwajulishe huyu kijana ni nani.huyu kijana ndio anakuja juu sana kimziki.anaitwa sudi boy.ameimba nyimbo anaitwa banati.huyu kijana ana sauti nzuri sana lakini maskini amenyanyaswa akijiona.alipo panda kwa stage mafans walikwenda wazimu sana na kufuraia kazi yake lakini maskini nilitoa machozi kwaajili yake.ameanza mziki juzi na tayari amekubalika.huyu alistaili kupewa tuzo la best upcoming artist maana jamani anastaili.badala yake ampewa mtu ambae yupo kwenye mziki miaka mitano.mafans walikasirika sana lakini utafanya nini na wameshaamua kitambo?sudi my boy.usife moyo wala usilie.wewe nimzuri.tuzo lisikubabaishe kabisa.siku moja watakujua watu wa kando kama wakaribu wanajifanya vipofu.

No comments:

Post a Comment