Monday, August 10, 2009

tunaimba wewe ni wangu na ali b


ali b akiwa na danyota ndogo wakiimba wewe ni wangu tu.uwezi kuamini kwamba nyimbo hii imeshindwa kwenye nzumari.wewe ni wangu ipo juu sana jamani.ali b.pole sana lakini wakenya wanajua ukweli.

No comments:

Post a Comment